hodi humu ndani!

hodi humu ndani!

umekuja jukwaa la ajira kusaka kazi ukaona sio mbaya ukajiunga hukuhuku,karibu
 
karibu sana, unatumia kinywaji gani ?
 
nafurahi sana kujiunga na great thinkers n i hope mtanilea vyema cz me bado mchanga humu. nawapenda wote.
kuna mkuu mmoja nanitwa mzabzab ni mlezi mzuri sana...hope akija atakukaribisha kwa moyo wote....
 
Last edited by a moderator:
nina wasiwasi na uchanga wako mbona kama mkongwe hiviiiii.....................hahahaha karibu
 
Karibu ladyfocus. Kule ulipo post ni Jukwaa la Kazi na Tender. Hapa ndio Jukwaa la Utambulisho. Next time kua makini unapost jukwaa gani. On the other hand kama umekuja "kikazi" basi weka wazi. Asante
 
Last edited by a moderator:
wageni tupo wengi, so "you'll never walk alone"

:smiling:
 
Heshima kwako mkuu "asigwa", maana "avatar" yako kiboko!
Duuh..
 
karibu ladyfocus

"a boy dreams ..but a man does":smile:
 
Back
Top Bottom