Hodi Humu Ndani

Hodi Humu Ndani

manizzle

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2015
Posts
3,421
Reaction score
4,320
Jamani nimechoka kuchungulia au kula chabo kila siku nimeona nijisalimishe rasmi nafaidi uhondo wa JF kwa raha zangu kujiiba iba sio kuzuri. Naomba wakongwe mnifanyie orientation na maeneo husika. Najua mtanipokea kwa mikono miwili.

Asanteni
 
chunga mgeni husipigwe barn la sivyo utabadilisha ID kila siku karibu sana.
 
Back
Top Bottom