Hodi humu, nipokeeni naomba

Hodi humu, nipokeeni naomba

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Ndo nimeingia hapa JF kwa mara ya kwanza. Naomba mnipokee kwa kunisaidia kunipa maelekezo namna ya kutumia hii forum hasa upande wa mahusiano. Naamini mtanisaidia na nitakuwa bega kwa bega katika kuchangia hoja mbalimbali zinazohusu mahusiano kwani pasipo mahusiano hakuna jammii inayoweza kuendelea labda ikiwa ni jamii ya ajabu. Hasanteni kwa kunisikiliza.
 
Japo hodi yako umepigia sebleni badala ya barazani karibu sana!!!
 
Japo hodi yako umepigia sebleni badala ya barazani karibu sana!!!
Ahsante sana mwana JF, barazani nilijaribu nikashindwa pa kugonga, ni vioo tupu.
 
Karibu,ila kuwa makini na nyumba,usikimbilie chumbani,utaaibika
 
Back
Top Bottom