Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,598
Ndo nimeingia hapa JF kwa mara ya kwanza. Naomba mnipokee kwa kunisaidia kunipa maelekezo namna ya kutumia hii forum hasa upande wa mahusiano. Naamini mtanisaidia na nitakuwa bega kwa bega katika kuchangia hoja mbalimbali zinazohusu mahusiano kwani pasipo mahusiano hakuna jammii inayoweza kuendelea labda ikiwa ni jamii ya ajabu. Hasanteni kwa kunisikiliza.