Hodi humu wadau??

Hodi humu wadau??

Unaelekea wapi?,za huko ulikotoka?, ulikua wapi?, umeijuaje jf,.. Karibu
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi
 
Kunamama humu anaitwa Sky Eclat ukihitaji ushauri muone huyo
Kuna kamrembo kangu ukikaona huko nambie kanaitwa financial services
Kunanjemba ikija pm Bora ukimbie anaitwa Zero IQ
Usithubutu kumbishia Mshana Jr hutalala[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
VIP Bado unaitaj utambulisho?[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Corona Tanzania ilishasomewa hitma na misa ya wafu.
Chama ni kimeshika hatamu!
1590213780084.jpg
 
Back
Top Bottom