HODI HUMU WAHESHIWA

HODI HUMU WAHESHIWA

unexpected

Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
8
Reaction score
1
Naomba kuelekezwa namna ya kutumia jamii forum kwenye PC, napata wakati mgumu kuandika kwa simu. Yeyote alie na ufahamu anielekeze hatua kwa hatua. Ni hayo tu waungwana...
 
Back
Top Bottom