21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
Asante sana mkuu kwa ukaribishoKaribu sana mkuu
Humu ndio nyumbani kwa magreat thinkers.
Hilo halina umuhimume au ke?
Ni kweli kiongozi ni kutaja jinsia sio muhimu sana.Naona cha muhimu tumkaribishe tu kujua ni me au ke haina umuhimu sana
Asante mkuuKaribu sana JF...........
AsanteKaribu
Karibu sana TopUp .Habari zenu wadau.
Mimi ni mgeni humu ndani naombeni mnipokee tafadhali.
Ni kwa muda sasa nimekua nikisikia watu wakiisifia jamii forum kwa kusheheni habari moto moto na mijadala mbalimbali ila nilishindwa kuwa member kutokana na sababu mbalimbali.
Ila sasa mimi ni member rasmi naomba mnipokee. Asanteni.
Nishakaribia mkuuKaribu sana jamvini
kusema Tu WEWE N MWANAMKE AU MWANAUME UTAKUFA?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyie new members ndio maan mnafany maisha yanakuwa magum huku Jf..Ni kweli kiongozi ni kutaja jinsia sio muhimu sana.