Hodi humu

Hodi humu

One telabyte

Member
Joined
Nov 29, 2017
Posts
42
Reaction score
22
Habari wana JF,baada ya kipindi kirefu kuwa naperuzi nimeamua na mimi nifungue account niwe mchangiaji.Naomba mnipokee pia mwenye avatar nzuri tafadhali anitumie niweke hapo
 
Hiyohiyo ya ''O'' ndo inakufaa.....najua hutoi ''O'' .au unatoa mkuu?.....😀😀😀
 
Back
Top Bottom