One telabyte
Member
- Nov 29, 2017
- 42
- 22
Habari wana JF,baada ya kipindi kirefu kuwa naperuzi nimeamua na mimi nifungue account niwe mchangiaji.Naomba mnipokee pia mwenye avatar nzuri tafadhali anitumie niweke hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyohiyo ya ''O'' ndo inakufaa.....najua hutoi ''O'' .au unatoa mkuu?.....😀😀😀Habari wana JF,baada ya kipindi kirefu kuwa naperuzi nimeamua na mimi nifungue account niwe mchangiaji.Naomba mnipokee pia mwenye avatar nzuri tafadhali anitumie niweke hapo
Sijajua au kuna maana nyingine ya O unambie MkuuHiyohiyo ya ''O'' ndo inakufaa.....najua hutoi ''O'' .au unatoa mkuu?.....😀😀😀
Karibu ni ke au meHabari wana JF,baada ya kipindi kirefu kuwa naperuzi nimeamua na mimi nifungue account niwe mchangiaji.Naomba mnipokee pia mwenye avatar nzuri tafadhali anitumie niweke hapo
AhsanteKaribu sana JF............