One telabyte
Member
- Nov 29, 2017
- 42
- 22
Hiyohiyo ya ''O'' ndo inakufaa.....najua hutoi ''O'' .au unatoa mkuu?.....πππHabari wana JF,baada ya kipindi kirefu kuwa naperuzi nimeamua na mimi nifungue account niwe mchangiaji.Naomba mnipokee pia mwenye avatar nzuri tafadhali anitumie niweke hapo
Sijajua au kuna maana nyingine ya O unambie MkuuHiyohiyo ya ''O'' ndo inakufaa.....najua hutoi ''O'' .au unatoa mkuu?.....πππ
Karibu ni ke au meHabari wana JF,baada ya kipindi kirefu kuwa naperuzi nimeamua na mimi nifungue account niwe mchangiaji.Naomba mnipokee pia mwenye avatar nzuri tafadhali anitumie niweke hapo
AhsanteKaribu sana JF............