Hodi Humu

Hodi Humu

HugeEmson

New Member
Joined
Sep 23, 2018
Posts
1
Reaction score
2
Nadhan jina langu sio la mihmu humu.. Ila ni mgeni na ningependa kujitambulisha...Mimi ni mfanya biashara anayejishughulisha na SEO, Digital makerting na Lead Generation.

Nadhan, ntakuwa nashare ujuiz wa hapa na pale humu JF na nje ya JF kwa wale watakao hitaji kujifunza kuhusiana na mada husika. Nadhan tukisaidiana hapa na pale tutafika!

Nawasilisha.....
 
Back
Top Bottom