Hodi humu

Hodi humu

Derickdeo21

Member
Joined
Oct 3, 2019
Posts
12
Reaction score
6
Hey mgeni hapa nataka kukaribishwa nimevutiwa sana na ukurasa huu na nimeamua kua member wa JF nawapenda sana wanajamvi wote
 
Hey mgeni hapa nataka kukaribishwa nimevutiwa sana na ukurasa huu na nimeamua kua member wa JF nawapenda sana wanajamvi wote
Karibu mgeni mwenyeji apate nafuu,jisikie upo nyumbani tuambie umetuletea nini ?
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
 
Back
Top Bottom