Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
Nashukuru sana kwa kupokelewa kwa ombi langu la kujiunga humu,kiukweli nimekuwa msomaji mzuri sana wa jamii forum lakini nimekuwa sichangii kitu takribani mwaka sasa kutokana na mjukum ya hapa na pale. sasa nimeamua kuingia rasmi humu ili na mm niwe nachangia japo mawazo kwa mada ama Topic ambazo zimekuwa zikitolewa na wana jamii.Asanteni sana wahusika...