kisaka victpr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 657
- 116
Wakuu nimeingia rasmi humu ndani kama mwana JF,japo ni zaidi ya miaka sita nimekuwa nikiperuzi habari mbalimbali.Ninategemea,ushirikiano, ushauri na ukosoaji wenu pasipo chuki wala ugomvi.Ndimi Kisaka Victpr.