Hodi humu

Karibu sana hapa ndiyo tukutanapo wakubwa kwa wadogo,wakiume na wakike kabila zote humu wamo,wabaya na wazuri pia ila ukiingia na wenge imekula kwako.
 
Khaaa, mbona vidume vikipiga hodi humu huwa hamvikaribishi kwa mbwembwe hivi?

Asa nifah siku zote inajulikana wageni wa kike wanakaribishwa na wenyeji wa kiume.. Na wageni wa kiume wanatakiwa wakaribishwe na wenyeji wa kike.. Kwanini wewe na wana Beijing wenzio hamtekelezi wajibu huu wa kiukarimu..?
 
Last edited by a moderator:

Mie hua natekeleza mkuu...ila huu wenu naona umezidi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…