Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Mbona wanaume wanaombaga hivyo hivyo? Hampendani nyie kazi yenu kutusema sisi tu.huyo kaomba ushirikiano kwa kila kitu humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wanaume wanaombaga hivyo hivyo? Hampendani nyie kazi yenu kutusema sisi tu.huyo kaomba ushirikiano kwa kila kitu humu
Usimshangae huyo mkuu, hata mimi nategemea kuomba kukaribishwa humu maana sikupiga hodi wakati naingia...
Teh teh teh
nipokeeni jamani mie mgen naombeni ushirikiano wa kila kitu humu
Asante sana mkuu aretaskimarioOky, nimekuelewa karibu sana my nifah
Khaaa, mbona vidume vikipiga hodi humu huwa hamvikaribishi kwa mbwembwe hivi?
Mie hua natekeleza mkuu...ila huu wenu naona umezidi!Asa nifah siku zote inajulikana wageni wa kike wanakaribishwa na wenyeji wa kiume.. Na wageni wa kiume wanatakiwa wakaribishwe na wenyeji wa kike.. Kwanini wewe na wana Beijing wenzio hamtekelezi wajibu huu wa kiukarimu..?