Msalagambwe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 713
- 263
Hodi Jamani.
Samahani wana JF
Baada ya kuchangia mara zaidi ya 80,
Nimegundua kuna sehemu ya kujitambulisha.
Ndo hivo jamani,
STC - Saidia Tujenge Chetu,
Pamoja na kukerwa na uhaini wa viongozi TZ
Tujitahidi kupakua hekima zetu hapa JF,
Tupunguze jabza na kuongeza hekima.
KAMWE Chepeo lisiitwe KIJIKO KUKUBWA,
Wizi usitwe KUCHANGAMKA.
Hodi tena.
Samahani wana JF
Baada ya kuchangia mara zaidi ya 80,
Nimegundua kuna sehemu ya kujitambulisha.
Ndo hivo jamani,
STC - Saidia Tujenge Chetu,
Pamoja na kukerwa na uhaini wa viongozi TZ
Tujitahidi kupakua hekima zetu hapa JF,
Tupunguze jabza na kuongeza hekima.
KAMWE Chepeo lisiitwe KIJIKO KUKUBWA,
Wizi usitwe KUCHANGAMKA.
Hodi tena.