Hodi jamani naomba kukaribishwa mimi ni mgeni

Umejuaje kama mm ni Raymond
Ulitaka tukukaribishe ndio hivo tena karibu sana jambo moja unapaswa kufahamu huku ndani kuna watu wana akili kama mchwa wanaweza wakaangalia maneno yako kadhaa halafu wakatumia kujenga picha pana ambayo inatosha kujua mambo mengi yanayokuhusu
KARIBU
 
Ahsante sana mkuu nadhan utakua rafiki yangu wa kunitembeza humu jf
 
Mondray acha utani una miezi miwili ujue [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…