msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,734
Husikeni na mada tajwa hapo juu jamani mm ni mgeni humu jf ninaomba mnipoke, mnishauri, na mnipe sheria ya humu jf
Holla 5 kwa majamaa zangu Daby CHARMILTON joanah na wengine wengi
karibu ila humu watu tuna ngozi ngumu , sio kutukanwa kidogo tu unakimbilia TCRA