Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndugu zangu, mimi ni mmoja kati ya wapenzi wakubwa wa jf. Navutiwa sana na midahalo ya humu ndani. Naomba mnipokee qa mikono miwili nami nipate kushea mazuri na kujifunza mengi yaliyomo humu.
Natanguliza shukrani zangu qenu