Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nafurahi kuwa na wewe hapa jamvini;karibu sana.Nafurahi kujiunga nanyi kwenye jamii forum.Nasema Hodi.
Karibu sana, lakini ukumbi huu ni kwa ajili ya matangazo ya nafasi za kazi na tenda. Kuna ukumbi rasmi wa utambulisho. Hata hivyo, nami najiunga na wenzangu katika kufurahia kujiunga kwako na JF.Nafurahi kujiunga nanyi kwenye jamii forum.Nasema Hodi.
karibu saaaaana.......kumbuka mkono mtupu haulambwi cahngia JF ikue.....