Hello JF members! nawasalimu kwa jina la mungu, mimi ni mtanzania mwenzenu ninayekubali mabadiliko na kwa kuthibitisha hilo nimeamua kujiuna nanyi mliyoyapokea mapema katika kubadilashana mawazo na kupeana habari. nawatakia heri ya mwaka 2013 wenye mafanikio wana JF wote na watanzia kwa ujumla.