Tandabui Health
Member
- May 9, 2016
- 15
- 5
- Thread starter
- #21
Hahahaaaaa! Nzalendo Check Jina langu na profile picture yangu.Jitambulishe...tupate ufahamu zaidi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaa! Nzalendo Check Jina langu na profile picture yangu.Jitambulishe...tupate ufahamu zaidi.....
Thank youuu!!!karibu sana JF mjukuu wetu.............
Mimi mwenyewe nimeficha sukari sema sina umaarufu ndo maana sijaonekana kwenye kideo!Unaionaje hali ya sukari...
ushawahi au wavuta bange...
Manake wengi humu twalipuliza jane
Hahaaa!!!!!!!!!!! umeficha ya kukutosha na familia yako inawezekanaMimi mwenyewe nimeficha sukari sema sina umaarufu ndo maana sijaonekana kwenye kideo!
Asante Chuakachara kwa concern yako.
Tandabui Institute of Health and Technology is not a Faith Based Org. Ni Private College Kipo accredited na NACTE na kinatambuliwa na Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Unaweza kutembelea website yetu hapa: www.tihest.org kwa info zaidi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji57]Mlango wa ukumbini.....
Ha ha haaa
KARIBUAsante