Hodi JamiiForums

Hodi JamiiForums

Danniela

Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
27
Reaction score
59
Hello JamiiForums
Nimefurahi kuwa mwanafamilia hapa
Naomba kukaribishwa na kupewa mwongozo
Shukria.
 
Karibu mkuu.
Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Karibu sana msalimie santiago
 
Haya karibu sana jina lako umenikumbusha mpenz wangu wa kizungu Tuliyekutana zenji anaishi AUSTRIA..
Umri wako..
Jina kamili..
No ya simu..
Picha yako..
Sehemu ulipo..
Elimu yako
Ahsante

-Mond-
 
Hello JamiiForums
Nimefurahi kuwa mwanafamilia hapa
Naomba kukaribishwa na kupewa mwongozo
Shukria.
Ur name is so beautiful, and I blv will be ur face.. can u show us?
 
Karibu,nimekuwahi ww ni wangu wengine wrote wana wakwao
 
Karibu, ila nitupie namba yako PM nikukaribishe vizuri na nikueleze sheria na kanuni zote za nyumba hii
 
huyu kwenye picha ni wewe!!!
441404.jpg
 
Back
Top Bottom