Hodi JamiiForums

Hodi JamiiForums

Hello JamiiForums
Nimefurahi kuwa mwanafamilia hapa
Naomba kukaribishwa na kupewa mwongozo
Shukria.
Mwongozo ni kwamba.... Humu ndani kila mmoja ni Mkuu.
Alafu hapo kwenye avatar yako kuna maradhi ya mtima wangu..[emoji39] [emoji39] [emoji39] huo msamwanda utantoa roho...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
huyu kwenye picha ni wewe!!!
441404.jpg
Ni yeye,namfaham vzur san.Halaf hilo gauni huwa anapenda san kulivaa
 
Back
Top Bottom