Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Mwongozo ni kwamba.... Humu ndani kila mmoja ni Mkuu.Hello JamiiForums
Nimefurahi kuwa mwanafamilia hapa
Naomba kukaribishwa na kupewa mwongozo
Shukria.
Alafu hapo kwenye avatar yako kuna maradhi ya mtima wangu..[emoji39] [emoji39] [emoji39] huo msamwanda utantoa roho...[emoji12] [emoji12] [emoji12]