Hodi Jamvini waungwana...

Hodi Jamvini waungwana...

Borat69

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,522
Reaction score
1,757
Hodi katika jamvi hili tukufu la uchambuzi yakinifu. Nakula kiapo leo hii kuwa mwanaJamvi muadilifu,na kuchangia mada kwa weledi na heshima kwa wanaJamvi wenzangu. Nitakubali kukosolewa pale nitakapokosea....maana lengo la mimi kujiunga kwenye Jamvi hili ni kujifunza na kupata uelewa katika mambo yanayonitatiza katika jamii na maisha yetu ya kila siku. Eeh Mungu nisaidie.
Ahsanteni.
 
umenifurahisha kula kiapo cha utii!; any way karibu jamvini mkuu.
 
Ha ha ha.....si unajua tena siku hizi utiifu ndio wenyewe mkuu. Nashukuru sana kiongozi.
 
Wakuu naomba Msaada jinsi ya kuweka Avatar kwenye profile yangu...
 
karibu sana,
naona umekula viapo vya uadilifu,
haya bhana anza kukatiza mitaa ili uwe mwenyeji fasta,
 
Wakuu naomba Msaada jinsi ya kuweka Avatar kwenye profile yangu...

juu kabisa kuna sehemu wameandika "settings" , click hapo then itakupeleaka sehemu unapoweza ku-edit kila kitu kuhusu profile yako,
kushoto hapo pa ku-edit settings utaona "avatar edit" , utaclick hapo, then utaselect custom avatar, then utachagua picha kama ipo kwenye deskop na folda gani,
 
Nashukuru mkuu. Nimejaribu hiyo before lakini nilipofika pale kwenye kuchagua picha kwa custom avatar hainipi clickable option. Natumia iPad mara kwa mara kuliko desktop,inawezekana ikawa ni tatizo? Natanguliza shukrani zangu mkuu.
 
Back
Top Bottom