Hodi JF chimbo la wajuaji

Hodi JF chimbo la wajuaji

MLIMAWANYOKA

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2019
Posts
631
Reaction score
2,247
Natarajia baada ya muda mfupi wa kuzoea JF na mimi kuwa "mjuaji juaji"
Nimechagua kujikita katika majukwaa ya SIASA, HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO, LILE JUKWAA LA WAKUBWA, NA JF GARAGE.
 
natarajia baada ya muda mfupi wa kuzoea JF na mimi kuwa "mjuaji juaji"
Nmechagua kujikita ktk majukwaa ya SIASA, HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO, LILE JUKWAA LA WAKUBWA, NA JF GARAGE.
pouwaaaaaaaaaa
 
Hilo jukwaa la makubwa ndo lipi??mi mbona silioni
 
Karibu bila shaka...
Natarajia baada ya muda mfupi wa kuzoea JF na mimi kuwa "mjuaji juaji"
Nimechagua kujikita katika majukwaa ya SIASA, HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO, LILE JUKWAA LA WAKUBWA, NA JF GARAGE.
 
Back
Top Bottom