Hodi JF Mimi ni mgeni naomba mnikaribishe

Hodi JF Mimi ni mgeni naomba mnikaribishe

Karibu sana lakini umesahau kujitambilisha kama wewe ni Jogoo au ni Mtetea!
 
Mimi nitakumega kwelikweli. Si umesema ," Mimi nimegeni". Usichoke kumegwa
 
Poleni na Kazi wakuu . kichwa cha habari kinajieleza , asanteni

Umeingia wakati mbaya sana huku Bashite anatusumbua halafu Mpiganaji wetu katumbuliwa leo hivyo utuvumilie tu kama tukikengeuka nawe Mgeni.
 
Back
Top Bottom