Notorious jr
Member
- Oct 2, 2016
- 13
- 16
karibuuuuuuuuuuuuWadau hii ni mara yangu ya kwanza kujiunga na jf, mnipokee mja wenu, natumai tutakuwa wote na tutashirikiana vema katika mambo ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuendeleza mshikamano.
Nipo kwenye chama la The blues,....sina mrengo wowote wa kisiasa....Asanteni nategemea ushirikiano wenu.
asante mdauKaribu sana mkuu
Mkuu mimi nipo JF toka mwaka jana...mbona wanikaribisha tenaπππππkaribu mkuu
pamoja sana mkuukaribu mkuu
Ukiwa na tatizo lolote kuhusiana na mambo ya uchawi ulozi na ushirikina tuwasilianeWadau hii ni mara yangu ya kwanza kujiunga na jf, mnipokee mja wenu, natumai tutakuwa wote na tutashirikiana vema katika mambo ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuendeleza mshikamano.
Nipo kwenye chama la The blues,....sina mrengo wowote wa kisiasa....Asanteni nategemea ushirikiano wenu.
shukrankaribuuuuuuuuuuuu
ucjali tuko pamojaUkiwa na tatizo lolote kuhusiana na mambo ya uchawi ulozi na ushirikina tuwasiliane
Bora ata nimekuona aisee.Ukiwa na tatizo lolote kuhusiana na mambo ya uchawi ulozi na ushirikina tuwasiliane
[emoji3] [emoji3] [emoji3] naogopa kuitwa mchocheziBora ata nimekuona aisee.
Hivi mshana huwezi kumpoteza JPM kama yule wa Malawi? au uchawi wako ni very limited?πππππ
Ahaa kumbe unaweza ila unaogopa eeh?[emoji3] [emoji3] [emoji3] naogopa kuitwa mchochezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahaa kumbe unaweza ila unaogopa eeh?
Ebu ni PM bei ya kufanya hivyo pamoja na namba yako ya M-pesa.
Then I will take a journey+net to get himππππππ