Notorious jr
Member
- Oct 2, 2016
- 13
- 16
Wadau hii ni mara yangu ya kwanza kujiunga na jf, mnipokee mja wenu, natumai tutakuwa wote na tutashirikiana vema katika mambo ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuendeleza mshikamano.
Nipo kwenye chama la The blues,....sina mrengo wowote wa kisiasa....Asanteni nategemea ushirikiano wenu.
Nipo kwenye chama la The blues,....sina mrengo wowote wa kisiasa....Asanteni nategemea ushirikiano wenu.