petersonchris
Member
- Feb 14, 2017
- 25
- 10
Ndugu wana JF nawasalimu katika jina la Mungu. mimi ni member mpya kabisa humu ndani, ni matumaini yangu kuwa mtanipokea na natarajia kujifunza mengi kutoka kwenu. asante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yah ndo picha yangu mkuuNdio picha yako hiyo kwenye avantar
Akijua atatoa na ata change user nameKaribu Dr![]()
Ni swala la muda tu.Akijua atatoa na ata change user name
It's the matter of timeNi swala la muda tu.
Yap.It's the matter of time
Dar sehem gani? Me mwenyewe niko darKaribu Dr![]()
Dr - Doctor... Vipi tena?Dar sehem gani? Me mwenyewe niko dar
Karibu sanaNdugu wana JF nawasalimu katika jina la Mungu. mimi ni member mpya kabisa humu ndani, ni matumaini yangu kuwa mtanipokea na natarajia kujifunza mengi kutoka kwenu. asante.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hapana chezea jfKaribu mkuu hapa ndio Jf kila mtu kafika chuo na anadegree!
Vp unaelimu gani
Rusha nyingine bhana ya muonekano mzuri hii haikutoi vizuriyah ndo picha yangu mkuu
Naenda kusemaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125]Nakuomba badilisha picha na tafuta jina lingine,naomba tumia jina la **kond*