Hodi JF

Ibilisi

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
3,465
Reaction score
5,578
Waheshimiwa wakuu sana wana JF naombeni mnikaribishe mimi Babu yenu ni mgeni humu ndani. Nipokeeni furushi zangu hizi za tunguli, nionesheni choo na bafu na sehemu ya kulala. Nimeona vijana mnafaidi sana humu na hasa ukizingatia enzi zetu sisi haya mambo hayakuwepo, hivyo nimeamua kuwa mzee kijana.

Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
 
Hamtaki kunikaribisha sio!?

Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
 
Mbona mgen mkorofi hvo
Anyway karibu sanaaaa jiskie uko nyumbn
Asante sana mkuu...

Sasa nashangaa napiga hodi halafu kimya tu wakati naona wageni wengine wanapokelewa, nadhani kwakuwa mi Babu ila angekuwa kigori ungekuta vurugu mechi kwenye huu uzi

Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
 
Asante sana mkuu...

Sasa nashangaa napiga hodi halafu kimya tu wakati naona wageni wengine wanapokelewa, nadhani kwakuwa mi Babu ila angekuwa kigori ungekuta vurugu mechi kwenye huu uzi

Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
Haha ila babu we sio mgeni umejuaje vigori wanapokelewaga fasta....na hyo signature umeedit ni dhahir we si mgeni multiple id
Nsamehe lkn babu kama ntakuuzi
 
Karibu mgeni mwenyeji

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
karibu (id yako og)..... ila haya mafekero hayajawahi kumuacha mtu salama.

S Y B
 
Haha ila babu we sio mgeni umejuaje vigori wanapokelewaga fasta....na hyo signature umeedit ni dhahir we si mgeni multiple id
Nsamehe lkn babu kama ntakuuzi
Tena hiyo signature naijua sana. Basi tu sikukariri ni nani. Huyu babu ni mgeni mwenyeji
 
Huyu atakua babu wa plastic.ok anyway jisikie uko nyumbanj na uwe mvumilivu humu wenyeji wako wengi wetu tumevurugwa usije shangaa hata chooni nisikuelekeze maana jf imenoga sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Haha ila babu we sio mgeni umejuaje vigori wanapokelewaga fasta....na hyo signature umeedit ni dhahir we si mgeni multiple id
Nsamehe lkn babu kama ntakuuzi
Uniudhi tena kwa lipi mjukuu wangu? mimi sijui kukasirika ujue. Mimi ni msomaji wa muda mrefu japo sikuwa nimejiunga, so huwa nafuatilia hata hili jukwaa la utambulisho naona warembo wanavyochangamkiwa.

Mfano kuna mrembo mmoja kaingia juzikati hapo, kaweka real ID & avatar kasindikizia na mafoto ya kutosha. Uzi ulijaa fasta na PM kule anadai Ni kama ugomvi

Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
 
Huyu atakua babu wa plastic.ok anyway jisikie uko nyumbanj na uwe mvumilivu humu wenyeji wako wengi wetu tumevurugwa usije shangaa hata chooni nisikuelekeze maana jf imenoga sana

Post sent using JamiiForums mobile app
Usijali kabisa mjukuu mimi ni babu wa chuma, tena chuma cha pua. Kuhusu kuvurugwa hata mimi mwenyewe nimeshavurugwa kwahiyo tutamatch tu

Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
 
karibu (id yako og)..... ila haya mafekero hayajawahi kumuacha mtu salama.

S Y B
Mafekero ndo nini?

Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…