Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,578
Waheshimiwa wakuu sana wana JF naombeni mnikaribishe mimi Babu yenu ni mgeni humu ndani. Nipokeeni furushi zangu hizi za tunguli, nionesheni choo na bafu na sehemu ya kulala. Nimeona vijana mnafaidi sana humu na hasa ukizingatia enzi zetu sisi haya mambo hayakuwepo, hivyo nimeamua kuwa mzee kijana.
Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app