TRANSPONDER
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 400
- 993
Najitambulisha kama ninavyoonekana, nimechoka kusoma post as a guest . Naomba mwenyeji mmoja anipokee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana ledada.... hatimaye nimepata mwenyejiKaribu sana mkuu
Heheh kamati ya ukaribishoKaribu sana mkuu
[emoji4][emoji4]feel at homeAhsante sana ledada.... hatimaye nimepata mwenyeji
Huhuhu katika ubora wangu [emoji23]wa kaziHeheh kamati ya ukaribisho
Tuanzie inbox itapendeza zaidi[emoji4][emoji4]feel at home
ntakutembeza jf yote uijue vizuri
Nilipoteza funguo [emoji23]Tuanzie inbox itapendeza zaidi
Wewe kweli mwenyeji... nimezoea kukuona kwenye post za watu ... Leo angalau nipate muda faragha....Nilipoteza funguo [emoji23]
Mgeni siku ya kwanza tayari unataka kwenda inbox umepajuaje vyumbani huko?Tuanzie inbox itapendeza zaidi
Ahsante, nilichunguza nyumba kabla ya kuja, nasikia mnaita PMMgeni siku ya kwanza tayari unataka kwenda inbox umepajuaje vyumbani huko?
Anyway karibu sana mkuu
Nataman niwe mgen unikaribshe tena [emoji23]Huhuhu katika ubora wangu [emoji23]wa kazi
Ahsante ... ndio nani huyoKaribu sana
Ukaripoti kwanza Kilingeni kwa Juma Njemba wa JF kabla hujakutwa na baya lolote.
Ndiyo mimi hapa.Ahsante ... ndio nani huyo