G GPP1922 JF-Expert Member Joined Sep 8, 2019 Posts 537 Reaction score 537 Sep 9, 2019 #1 Habari GT! Nimeingia humu rasmi naomba baraka zenu wadau, naamini nitajifunza mengi kupitia jf!
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,557 Reaction score 7,367 Sep 9, 2019 #2 karibu sana jukwa huru la kutoa hoja bila uwoga wa kutishwa na yeyote na ziwe za kujenga nasio kubomoa mkuu
karibu sana jukwa huru la kutoa hoja bila uwoga wa kutishwa na yeyote na ziwe za kujenga nasio kubomoa mkuu
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Sep 9, 2019 #3 Karibu sana JF!
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,771 Sep 9, 2019 #4 Karibu sana mkuu. Kwa utambulisho mfupi tuma picha yako ya hivi karibuni. Namba ya simu. Eneo unaloishi . Elimu yako..
Karibu sana mkuu. Kwa utambulisho mfupi tuma picha yako ya hivi karibuni. Namba ya simu. Eneo unaloishi . Elimu yako..
G GPP1922 JF-Expert Member Joined Sep 8, 2019 Posts 537 Reaction score 537 Sep 9, 2019 Thread starter #5 Ninafurahi kuwa mwanafamilia wa jf!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Sep 10, 2019 #6 carcinoma said: Karibu sana mkuu. Kwa utambulisho mfupi tuma picha yako ya hivi karibuni. Namba ya simu. Eneo unaloishi . Elimu yako.. Click to expand... Jinsia vipi?
carcinoma said: Karibu sana mkuu. Kwa utambulisho mfupi tuma picha yako ya hivi karibuni. Namba ya simu. Eneo unaloishi . Elimu yako.. Click to expand... Jinsia vipi?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Sep 10, 2019 #7 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.