Hodi JF

Hodi JF

GPP1922

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
537
Reaction score
537
Habari GT! Nimeingia humu rasmi naomba baraka zenu wadau, naamini nitajifunza mengi kupitia jf!
 
karibu sana jukwa huru la kutoa hoja bila uwoga wa kutishwa na yeyote na ziwe za kujenga nasio kubomoa mkuu
 
Karibu sana mkuu.
Kwa utambulisho mfupi tuma picha yako ya hivi karibuni.
Namba ya simu.
Eneo unaloishi .
Elimu yako..
 
Ninafurahi kuwa mwanafamilia wa jf!
 
Back
Top Bottom