Hiyo lugha unapaswa kuongea na mjinga mwenzako mnayeelewana
Jifunze kutoendeshwa na hisia bali utumie akili kufikiria na sio hisia.
Jifunze kuheshimu kila mtu haijarishi umewazidi umri au lah.
Jifunze kuheshimu na utaheshimiwa
Jifunze kukosoa kwa hoja na si matusi.
Na wapi nilisema mimi ni mjinga?
Mjinga ni nini?
Umejuaje kama mimi ni mjinga?
Ukishindwa kuonesha basi jiulize kati ya mleta mada na mtu ambaye anaongea kitu ambacho hakipo nani mjinga Kati yao.
Ukimsemesha mtu lugha ya kijinga,asipokuelewa inabidi ubadilishe.
Hiyo ni sheria/kanuni kutoka wapi?
Juu ya nini?
Kwanini iwepo?
Wapi nilisema kila mtu lazima anielewe ninapoandika chochote?
Wapi nilikuita uje uchangie na lazima unielewe?
Lugha ya kijinga ni ipi? Kutoka wapi? na wapi nimesema lugha niliyoandika ni ya kijinga?
Na hiyo nimeandika siyo lugha ya kijinga.ni maneno uliyokosea kuandika kwenye jukwaa la utambulisho.
Lugha ya kijinga ni ipi kutoka wapi?
Onyesha Wapi nilisema maneno niliyoyaandika nimeyakosea?
Jukwaa la utambulisho ili iweje baada ya kujitambulisha?
Kujitambulisha kwa nani?
Ukishindwa kujibu basi hujui ulichokiandika.