Hodi JF

Hodi JF

Mwanabalagha

Senior Member
Joined
Nov 11, 2015
Posts
196
Reaction score
235
Habari zenu wananzengo?

Ni memba mpya hapa naitwa MAGAYE kitambo sana, nilikuwa nafatilia mijadala mbalimbali humu, ila sasa nimeona ni vyema nami nikajumuika ili nifaidi zaidi.

Natumaini upokeo wenu wa upendo kabisa.
 
Karibu sana na nazani utaratibu unaujua wa malipo.
 
Back
Top Bottom