Chandaruaz
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 235
- 36
Habari zenu wapendwa,mm ni mzma wa afya,naomba mnikarbishe jmn mm ni mgeni kwenye jukwaa hili,nilikua napitaga tu sasa nimeamua kuweka makaz,Asanten
!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana ila rekebisha staili ya uandishi wako
Asante sana mdau ila ni vyema ukanielewesha nilipokosea.
karibu sana JF mjukuu..............
Karibu sana JF...
Unaondoa sana herufi katika maneno yako
karibu sana jf
karibu sana. lakini hilo jina lako!!
karibuu il a usiingie na VIATU, huku kusafiiii
Mimi ndio mkuu karibu ila hapa hakuna makaz nenda majukwaa mengine ukaweke makaz