mujunimunu
Member
- Jan 27, 2011
- 10
- 1
Nimekuwa nikisikia katika mijadala mbalimbali watu wakisema wanaJamii forum wamesema hivi ama vile, nikaona si vibaya nami nikijiunga na hawa great thinkers. NAOMBA KUKARIBISHWA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani mnaupendeleo,mbona mimi hamjankalibsha wakati ni mwanachama wa muda japo ckuwatarifu?nimekuwa nawajibu sana tu ktk jumbe zenu ina mana hamuoni kuwa huyu ni member mpya?
Nimekuwa nikisikia katika mijadala mbalimbali watu wakisema wanaJamii forum wamesema hivi ama vile, nikaona si vibaya nami nikijiunga na hawa great thinkers. NAOMBA KUKARIBISHWA.