Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imetulia.Sina kawaida ya kutembea peku
Karibu sana JF mjukuu wetu.........Nimekuja mnipokee
babu.........Asante Mkuu, sijajua jinsia yako nimeogopa kukupa hadhi yako (babu au bibi)
Naona kaweka hadi Mask yakeJina ulilotumia la Agamemnon nazani unajua maana yake!... Kama unamjua huyo mtu nakukaribisha Jamii Intelligence kwa mada tamu!..
Cc: zitto junior Malcom Lumumba Elungata hearly izzo Eiyer Da'Vinci'
Atakuwa mshirika huyu!..Ngoj tumsubiri michango yake!.Naona kaweka hadi Mask yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mbona wa hapahapa,Atakuwa mshirika huyu!..Ngoj tumsubiri michango yake!.
[emoji2][emoji2][emoji2]
Atupe na msimamo wake international forum 🙂Huyu mbona wa hapahapa,
Wewe subiri utaona tu mwenyewe!
Kwa jinsi anavyojibu inaonyesha huyu ni mwenyeji......Atupe na msimamo wake international forum 🙂