RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,757
Wakuu Salaam, Mimi mwenzenu humu jamvini si mgeni ila ID yangu ilifutwa baada ya kupost Taarifa ilikuwa ina mmhusu Mhe Zitto bila ya kujua kuwa ingepelekea kufuta ID yangu ilikuwa imejenga heshima kubwa hapa JF... Bahati nzuri nimefanikiwa kurejea na ID ile ile...Hope Mtanipokea vema Wakuu...