Hodi mi mgeni jamani naanzia wapi?

Hodi mi mgeni jamani naanzia wapi?

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
5,181
Reaction score
6,813
Poleni wanajamii forum mwenze mie ni mgeni kabisa naanzia wapi,nawaombeni msaada wenu, nawashukuru kwa kunikaribisha.
 
nawaombeni mnielekeze namna ya kupost mada pia na kuchangia mada jamani
 
Hapana sio huku labda mlango wa jirani ndo wanapokea wageni wenye Id za namna yako jaribu erotica.com
 
Dah hilo jina lako! Ila ndo umeanza hivyo, ukichoka hapa karibu jukwaa la siasa,inteligensia,MMU huko ndo JF kwenyewe ukiwa mzoef zaidi tunakukaribisha kwa watu wazima
 
kwani jina lina shida gani? we toa maelekezo kama nilivoomba.
 
ni kuandika hujui au kusoma couse here is where we initiate!
 
Lete mawazo chanya kwa kuleta post nzuri na michango ya busara epuka uongo na uchochezi. Karibu
 
Back
Top Bottom