Hodi mi mgeni mwenyeji

Hodi mi mgeni mwenyeji

NR'S

Senior Member
Joined
Feb 14, 2012
Posts
106
Reaction score
12
hey wana iavi nipo humu kitambo ila sikuwahi kuona hii site ya kujitambulisha naknock on first time hooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooodiiiiiiiiiiiiiii :A S-baby:
 
Aiseee baba yangu karibu!!! Unakunjwa mbege ka unakunjwa niambie nikupe ngeni ya moto ya baridi ????
 
karubu . Saint anakukaribisha kwa niaba ya wote . Ukiwa na shida ama tatizo hapa JF utapata solution haraka sana
 
hey wana iavi nipo humu kitambo ila sikuwahi kuona hii site ya kujitambulisha naknock on first time hooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooodiiiiiiiiiiiiiii :A S-baby:

Karibu sana jamvini.
 
tunapenda wageni...karibu sana:flypig:
 
Mpaka tunaogopa kukukaribisha.anyway,kwakuwa umeamua kunawa ktkat ya mlo, karibu.
 
Back
Top Bottom