Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Siku hizi kuna wageni hewa yaani mtu anabadili ID halafu anasema mgeni je we ni mgeni hewa au mgeni wa kuomba kuwa mwenyeji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo kwanza nimejiunga humu. Sijui hata masharti ya humuSiku hizi kuna wageni hewa yaani mtu anabadili ID halafu anasema mgeni je we ni mgeni hewa au mgeni wa kuomba kuwa mwenyeji
Umejiungaje bila masharti au kakuunganisha mjombaNdo kwanza nimejiunga humu. Sijui hata masharti ya humu
Natumia simu ndogo. Sasa hayo masharti sijayaona. Nitayapata wapi?Umejiungaje bila masharti au kakuunganisha mjomba
Sawa jambazi hatar ila utayapata tu mda si mrefu kuwa uvumilivu tuNatumia simu ndogo. Sasa hayo masharti sijayaona. Nitayapata wapi?
Asante sana. Mungu akubariki sana kwa ukarimu wako kwa wageni kama mimi.Sawa jambazi hatar ila utayapata tu mda si mrefu kuwa uvumilivu tu
Usijali karibu sanaAsante sana. Mungu akubariki sana kwa ukarimu wako kwa wageni kama mimi.
Haa. Na wewe ni jambazi?. Nadhani utofauti wetu ni neno *hatari*Hizi id mod wasije wakadhani ni za mtu mmoja na kuziunganisha
Naona mmekutana majambaziHaa. Na wewe ni jambazi?. Nadhani utofauti wetu ni neno *hatari*
Hizi id mod wasije wakadhani ni za mtu mmoja na kuziunganisha
Hahaaaaa majambaz mkipiga story.Haa. Na wewe ni jambazi?. Nadhani utofauti wetu ni neno *hatari*