BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Naona mgeni bado anajifikiria kwanza, mwambie asiogope kuna ulinzi wakutosha!!!
karibu sana mkuu. Lakini naomba ujibu swali la kongosho ili tuweze juwa pa kuanzia kukubandua rebo. Mia
Naona umeamua kumwingiza mgeni chaka...yangu macho tu.sweetlady!!!
Naona umeamua kumwingiza mgeni chaka...yangu macho tu.
mgeni hajui anavyochelewa ndo masharti yatazidi
Karibu sana mgeni! Utaratibu wetu ni hivi; unaandika majina yako halisi yote matatu, umri wako, mahali unapoishi, namba yako ya simu na anuani ya posta, marital status pamoja na kazi yako ili siku ukipatwa na shida iwe rahisi kukusaidia kwa sababu we ushakua chama letu!!! Unakaribishwa sana mheshimiwa!
Kipipi!

naunga mkono hoja. Jiti.
Hadi marital status!Mbona yako sijaiiona na nilkuwa nakutafuta sana.Weka namba yako ya simu basi.
Khaaaaaaa!wakwetu yamekuwa hayo tena lol!
Karibu hadi ndani
Nakuhakikishia uko katika mikono salama kabisa.
We ni wa jinsia gani jamani?:violin:
Nina jukumu la kuwabandua lebo na manailoni wageni.
hahahaaaa...!!. Mkuu na wewe unataka kubandua?. Mia
tehtahteh .......Mi si nishazoea vy kulipia kuleeee uliponiagizia siku zile ....... leo nataka nibandue cha bureeeeee!!! hundred.
mhhhhhhhh hiyo kali, waswahili hawakukosea waliposema mgeni njoo mwenyeji apone.
Mi mgeni pia humu ila I hv bin visiting as a guest since kitambo tuu.