Hodi mmu

Hodi mmu

Naona umeamua kumwingiza mgeni chaka...yangu macho tu.

Ngakustuka na machale kun'desa.......we utakuwa uliingia MMU kimagendo wewe!!! Ngoja nipitie upya daftari la uanachama nione, tafadhali kama jina lako halimo basi we sio member wa MMU na hatutakutambua kama mwanachama mwenzetu na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya wavamizi wote!!! Aksanteni.
 
Karibu sana mgeni! Utaratibu wetu ni hivi; unaandika majina yako halisi yote matatu, umri wako, mahali unapoishi, namba yako ya simu na anuani ya posta, marital status pamoja na kazi yako ili siku ukipatwa na shida iwe rahisi kukusaidia kwa sababu we ushakua chama letu!!! Unakaribishwa sana mheshimiwa!

Hadi marital status!Mbona yako sijaiiona na nilkuwa nakutafuta sana.Weka namba yako ya simu basi.
 
Khaaaaaaa!wakwetu yamekuwa hayo tena lol!
 
Hadi marital status!Mbona yako sijaiiona na nilkuwa nakutafuta sana.Weka namba yako ya simu basi.

Huwezi kunitafuta mie na usinione, acha uongo mkuu!! Alafu jua tu kwamba hizo details ni visible kwa members wenyewe pamoja na viongozi halali wa MMU only!! Wengine hawawezi kuona, wewe kama sio member na haujapata kibali ni bora ukajiandikisha mapema!!!
 
Karibu hadi ndani
Nakuhakikishia uko katika mikono salama kabisa.
We ni wa jinsia gani jamani?:violin:

Nina jukumu la kuwabandua lebo na manailoni wageni.

mhhhhhhhh hiyo kali, waswahili hawakukosea waliposema mgeni njoo mwenyeji apone.
 
hahahaaaa...!!. Mkuu na wewe unataka kubandua?. Mia

tehtahteh .......Mi si nishazoea vy kulipia kuleeee uliponiagizia siku zile ....... leo nataka nibandue cha bureeeeee!!! hundred.
 
Mmmh ! Bubu ? Kigugumizi ? Pozi lako tu ? Waulizwa jiii ! Un'dhimika! Au wasoma nyakati za alama! Napita!
 
tehtahteh .......Mi si nishazoea vy kulipia kuleeee uliponiagizia siku zile ....... leo nataka nibandue cha bureeeeee!!! hundred.

kweli kabisa mkuu. ile sehemu inatupunguzia maganzi. mi ntaenda jumanne. Mia
 
wazee wa mpyoloooooo utawajua tu. mmeng'ang'ana jinsia jamani ni mgeni mkalibisheni
 
Mi mgeni pia humu ila I hv bin visiting as a guest since kitambo tuu.
 
Back
Top Bottom