jamani nabisha hodi mimi ni mjeni kabisa hapa ila ni mtanganyika halisi na naililia nchi yangu iliyokuwa na baraka na jina lililotukuka,umri wangu ni chini ya miaka ya muungano lakini hainizuii kumtafuta baba kisa eti simjui.naombeni mimi si mwanachama wa chama chochote ila nitaungana na yeyote atakayeitetea tanganyika no matter ni serikali 1,2 au 3.
ASANTENI.