Hodi mpo wenyewe?

Hodi mpo wenyewe?

tanganyikakwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
493
Reaction score
186
jamani nabisha hodi mimi ni mjeni kabisa hapa ila ni mtanganyika halisi na naililia nchi yangu iliyokuwa na baraka na jina lililotukuka,umri wangu ni chini ya miaka ya muungano lakini hainizuii kumtafuta baba kisa eti simjui.naombeni mimi si mwanachama wa chama chochote ila nitaungana na yeyote atakayeitetea tanganyika no matter ni serikali 1,2 au 3.
ASANTENI.
 
Karibu sana mgeni wetu.Usiwe na shaka ukipatwa na tatizo lolote ni taarifu tu.KARIBU
 
Back
Top Bottom